Umetumikiwa kikamilifu!
Karibu Hello FM Radio 104.9MHz. Burudani isiyo na kikomo, habari za kuaminika, vipindi vya elimu, na burudani safi kutoka kwa watangazaji mahiri moja kwa moja kupitia hewani na mtandaoni!
MHz Frequency
Matangazo Moja kwa Moja
Watazamaji Duniani
Mtangazaji: Mahiri.
Inachezwa Sasa:
Inasikika Vizuri
Sikiliza vipindi vyetu bora vilivyosheheni habari, uchambuzi wa michezo, burudani kali, na mada motomoto za kijamii.
Simulizi, Hotuba za Viongozi, na Matangazo ya Habari za Dunia Redio France International(RFI).
Mtangazaji
Asubuhi yako inaanza hapa kwa dua, Kumekuchaje, Utabili wa Hali ya Hewa, Habari kuu za magazeti, Matukio, Kero yako, na Burudani safi ya kukupa nguvu ya siku.
Mtangazaji
Mada Mezani, Dondoo ya Afya, Fahamu zaidi, na salamu za mulomwema.
Mtangazaji
Burudani ya Miziki, Mastory ya Wasanii wa Ndani ya nchi na nje ya nchi, na Jukwaa la wasanii wa ndani kukuza na kuibua Vipaji.
Dj
Habari mbalimbali za Wilaya, Mkoa, Taifa, na Ulimwenguni kote.
Wasomaji wa Habari
Michezo ya redio na Maigizo, Miziki mbalimbali ya asili ya Afrika, na stori za hapa na pale Kuhusu mziki.
Mtangazaji
Taarifa ya Habari za Dunia Kutoka Redio France International- Ufaransa(RFI Kiswahili).
RFI Kiswahili
Habari za Michezo na Uchambuzi Kiwilaya, Mkoa, Kitaifa na Kimataifa.
Jukwa la Michezo
Makala maalumu za Kijamii na Tiba, na Vipindi maalumu vya Makanisa.
Msimamizi wa kipindi
Wadau wa Salamu kwa njia ya kadi na simu Mkononi.
Mtangazaji
Simulizi za kutunga michezo ya redio, Maigizo na muziki mchanganyiko.
Msimamizi wa kipindi
Kujenga mahusiano hasa kwa waliopo waliopo kwenye ndoa na wachumba au wapenzi.
Mtangazaji
Kuamshana, kuhamasishana kwenda Kufanya shughuli za kiuchumi.
Mtangazaji
Kutoa mafundisho ya kiisilamu.
Msimamizi wa kipindi
Makala za Afya, Mazingira, Uchumi na Changamoto iliyokithiri katika jamii.
Mtangazaji
Vipindi na Mda wake Vimetajwa.
Watangazaji wa vindi
Nyimbo za injili zinazogusa roho, neno la uzima, na maombi maalum kwa ajili ya wiki mpya.
Mtangazaji wa Injili
Redio pendwa ya wananchi imeboresha mitambo yake ya kurushia matangazo ili kuwafikia wasikilizaji wengi zaidi bila kukata kata.
Timu nzima ya Hello FM pamoja na wasikilizaji wamejitokeza kwa wingi katika kuukimbiza mwenge wa uhuru 2026 na kufika katika Miradi iliyotembelewa na kuzinduliwa.
Tamasha lililo shuhudiwa na watu wengi sana na lilifana kwa ukubwa wake, hii ni kuuonekana kwa mwitikio wa wa wasikilizaji wengi.
Sauti zinazokupa burudani, habari, na elimu kila siku kupitia 104.9MHz Hello FM.
Mtangazaji Mkuu / Mtaalamu wa Habari & Mahusiano
Sauti yenye uwezo wa kipekee wa kugusa mioyo ya wasikilizaji na mada motomoto.
Mchambuzi wa Michezo (Sporting Arena)
Nguli wa soka mwenye takwimu sahihi na wachambuzi mahiri ndani ya studio.
Jaza fomu hii hapa chini kutuma ujumbe wako moja kwa moja kwa mtangazaji aliyeko hewani sasa hivi!
Sauti ya Kila Mtu - On Air